Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Kwa hiyo Songwe na yenyewe siku hizi imekuwa kama Masasani, Masaki, Oysterbay, Mbweni, nk!! Kiwanja tu kinauzwa milioni 300! Kisa tu kinafaa kujenga kituo cha mafuta!