Habari wanandugu wa Jua na AC.
Nauza kiwanja Kwa matumizi ya sheli.
Limepimwa kwajili ya matumizi ya sheli na wizara ya Ardhi.
Kipo katika barabara kuu ya East Africa
Kiwanja kipo Tanga Korogwe.
Sqm 2000
Bei milion 105
Nipigie simu #dalaliwamjini 0754693556