Kiwanja linazuwa maeneo ya kifuru Kisopwa

Kiwanja linazuwa maeneo ya kifuru Kisopwa

Joined
Nov 29, 2019
Posts
7
Reaction score
16
Kiwanja kizuri kinauzwa maeneo ya kifuru kisopwa ukitoka stand ya mbezi mbezi unashukia kifuru unachukua bodaboda au bajaji hadi site. Kina ukubwa wa 23m x 20m maji yapo yakutakata, umeme upo.

Bei milioni 4.5

Kwa mawasiliano zaidi +255 717 040837 / 0767 267 664

KIS.jpg
 
Mbona kama kimeinama yaani korongoni, umeme umefika hapo na gari inafika hapo?
 
Back
Top Bottom