Sonship JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 333 Reaction score 404 Jul 3, 2026 #1 KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU) Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako! Ukubwa: Mita 20 × 20 Kiwanja kimepimwa Hati inatolewa moja kwa moja kwa jina la mnunuzi Kimezungukwa na fensi ya ukuta pande mbili Maji na umeme vinapatikana jirani Mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi 💰 Bei: TZS Milioni 18 (mazungumzo yapo) 📞 Wasiliana nasi: 0675 065906
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU) Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako! Ukubwa: Mita 20 × 20 Kiwanja kimepimwa Hati inatolewa moja kwa moja kwa jina la mnunuzi Kimezungukwa na fensi ya ukuta pande mbili Maji na umeme vinapatikana jirani Mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi 💰 Bei: TZS Milioni 18 (mazungumzo yapo) 📞 Wasiliana nasi: 0675 065906
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,009 Reaction score 22,509 Jul 3, 2026 #2 Ilo neno kwa mzungu litakuwa limeongeza thamani kidogo
Sonship JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 333 Reaction score 404 Jul 3, 2026 Thread starter #3 Donnie Charlie said: Ilo neno kwa mzungu litakuwa limeongeza thamani kidogo Click to expand... Kwa mzungu kweli mkuu
Donnie Charlie said: Ilo neno kwa mzungu litakuwa limeongeza thamani kidogo Click to expand... Kwa mzungu kweli mkuu
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,069 Reaction score 15,029 Jul 3, 2026 #4 Kiwanja inaelekea kizuri na bei nzuri ila huyu jirani hapana kwa kweli😃😃 lazima atakua mtu wa kanda ya ziwa tena msukuma konki....
Kiwanja inaelekea kizuri na bei nzuri ila huyu jirani hapana kwa kweli😃😃 lazima atakua mtu wa kanda ya ziwa tena msukuma konki....