Plot4Sale Kiwanja milion 5 dege Kigamboni

Plot4Sale Kiwanja milion 5 dege Kigamboni

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Nauza kiwanja maeneo ya dege Kigamboni jiran na magorofa ya NSSF....hakijapimwa ila kina mita kama 28*25. Kipo jiran kabisa na barabara. Kwa mwenye kuhitaji tuchekiane 0713806766. Bei ni milion 5 na inashuka kidogo.

Karibuni sana
 
Kuna viwanja viwili kikubwa na kidogo vinauzwa maeneo ya dege kigambon jiran na magorofa ya NSSF. Kikubwa milion 6 na kidogo milion 3.5. Mwenye uhitaji anichek 0764503076. Karibun sana
 
Ukubwa wake ukoje..?? Yaani square meter ngapi..??
Je, wewe ndiye mmiliki..??

N.B:maswali hayo ni kwa mujibu wa kanuni ya Avoid con man .
 
Ina hati, umbali gani toka feri ,wangine hatufahamu dege ilipo
 
Kiwanja kinauzwa kigambon maeneo jiran na mradi wa NSSF...ukubwa wake ni mita 40*50 na kipo jiran kabisa na barabara...bei yke ni milion 7 maelewano yapo. Karibun sana, 0713806766.
 
Back
Top Bottom