Kiwanja milioni 1.5

Joined
Mar 16, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Kipo karibu na kituo cha daladala kwenye barabara kuu ya Chanika - Mvuti,kinatosha kwa ujenzi wa nyumba ya kukaa,tambarale na ni karibu ya makazi ya watu.
Unaweza fika kwa kupitia njia ya gongo la mboto mpaka chanika AU njia ya Mbagara kupita chamazi mpaka Mvuti.

Mawasiliano: 0656 33 50 33 / 0687 97 87 51.
 

Attachments

  • 010.JPG
    898.2 KB · Views: 341

ukubwa wake?
 
Mkuu jaribu kukichanganua basi (maref na mapana yake)
 
Nimekipenda ila Kipo Mbali Sana Je Unaweza Ukakihamisha Kikaja City Center?:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…