Plot4Sale Kiwanja mita 30 kwa 30 kinauzwa: Mbezi Makabe kwa 9mil

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Hello Jf.
Kiwanja kiko katika mazingira mazuri mazuri kama kinavyoonekana

Kishapimwa, hati ndio inasubiriwa

Umeme upo, hatua chache huongezi nguzo

Maji yapo lakin chumvi. Dawasa inakuja soon.

Kinafikika kwa gari.

Mita 30 kwa 30, 9 million tu

 
Makabe ipi mkuu, njia ya Msakuzi au msumi
 
Makabe ipi mkuu, njia ya Msakuzi au msumi
 
Mkuu chukua 5M njoo DM kama utaridhia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…