Wadau kinauzwa kiwanja Morogoro mjini nyuma ya petrol station ya Oryx ambayo inatazamana na Hospitali kubwa ya Morogoro..Kina ukubwa wa Square feet 8500 na kina jengo la ofisi kama 10.Kinafaa kwa ofisi au ujenzi wa kibiashara etc.Bei ni nzuri sana.Kwa Mawasiliano zaidi ya maulizo tuwasiliane kwa namba 0686 666666