Jipatie kiwanja mwasonga-Kigamboni kwa 3.5 millions kwa hekari moja.
View attachment 192703
- Kiwanja hicho kipo karibu shule ya msingi kichangani mbele kidogo ya Nyumba za Nssf!
- Kiwanja hicho kimepakana na kiwanja Oilcom(hii ni opportunity kwako kama una-invest)
- KIwanja hicho pia kimepakana na barabara ya mtaa! kutoka barabara kuu ni kama kilometa moja.
- Please Ni Pm kwa maelezo ya ziada
Mkuu mwasonga iko wapi? Ni huu upande wa gezaulole cheka na mbutu yaani barabara kama unaelekea kimbiji au iko upande kwa kibada? Kwa sababu niko interested na mimi
ni upande huo wa kibada kuelekea kimbiji ila unaacha barabara ya kimbiji.Mkuu mwasonga iko wapi? Ni huu upande wa gezaulole cheka na mbutu yaani barabara kama unaelekea kimbiji au iko upande kwa kibada? Kwa sababu niko interested na mimi