Kiwanja na Gari vinauzwa Bei nafuu sana.

Bob Isaac

Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
25
Reaction score
4
kiwanja kikubwa 3/4 heka kinauzwa kipo Mbezi Luis karibu na st. annes academy school, kina Hati.
Gari Toyota Noah 2002 model namba mpya inauzwa. cell 0717 295 295.
 
kiwanja kikubwa 3/4 heka kinauzwa kipo Mbezi Luis karibu na st. annes academy school, kina Hati.
Gari Toyota Noah 2002 model namba mpya inauzwa. cell 0717 295 295.

Ndugu asante kwa no yako ya simu.

Mimi niko interested na kiwanja. ila nataka kujua yafuatayo.

1. Kiwanja ni bei gani?
2. Kiwanja kiko umbali gani from morogoro road or any other main road.

Ni hayo tu.
 
Ndugu asante kwa no yako ya simu.

Mimi niko interested na kiwanja. ila nataka kujua yafuatayo.

1. Kiwanja ni bei gani?
2. Kiwanja kiko umbali gani from Bagamoyo road or any other main road.

Ni hayo tu.

kuna uhusiano kati ya mbezi Luis na Bagamoyo road?
 
kuna uhusiano kati ya mbezi Luis na Bagamoyo road?
Jamani nilikuwa nimekasirika ila nimeripuka kwakucheka jamaa officini wakageuka!Dah kweli mkuu jamaa labda yupo katavi yawezekana au anakaa ulaya mpiga box kasahau mitaa!
 
Ndugu asante kwa no yako ya simu.

Mimi niko interested na kiwanja. ila nataka kujua yafuatayo.

1. Kiwanja ni bei gani?
2. Kiwanja kiko umbali gani from morogoro road or any other main road.

Ni hayo tu.
Mimi sio msemaji wa jamaa ila nitamjibia hilo la pili. Amesema karibu na St. Ann's. Hiyo shule ipo kama 1/2 km from Morogoro Road njia ya kuelekea Makabe-Msakuzi. Ni mjini sana.

Cha muhimu hapo aweke bei ya kiwanja na gari pamoja na picha.
 
Mimi sio msemaji wa jamaa ila nitamjibia hilo la pili. Amesema karibu na St. Ann's. Hiyo shule ipo kama 1/2 km from Morogoro Road njia ya kuelekea Makabe-Msakuzi.
Mkuu,
Unanikumbusha jamaangu anaishi Msakuzi Lipelanya Kwa Mzee Wa Irambo!
Dar majina yb Mitaa imeisha!
 
Ndugu asante kwa no yako ya simu.

Mimi niko interested na kiwanja. ila nataka kujua yafuatayo.

1. Kiwanja ni bei gani?
2. Kiwanja kiko umbali gani from morogoro road or any other main road.

Ni hayo tu.

kutoka morogoro Road 1.5km na kutoka Barabara nyingi ni ya Vumbi lakini ndiyo Barabara kubwa ya huko zinapita Daladala na magari mengine yote yanyokwenda mpaka Kunduchi mpaka Bagamoyo road, na Bei ni 40m
 
Mimi sio msemaji wa jamaa ila nitamjibia hilo la pili. Amesema karibu na St. Ann's. Hiyo shule ipo kama 1/2 km from Morogoro Road njia ya kuelekea Makabe-Msakuzi. Ni mjini sana.

Cha muhimu hapo aweke bei ya kiwanja na gari pamoja na picha.

Hivi St. Anne Maria sio kwamba ipo Mbezi kwa Msuguri tu? au hii iliyotajwa hapa ni shule nyingineyo mkuu?

Huko unakokuelezea huwa najua kuna Mbezi High School kama sio Secondary School na ipo karibu kabisa na barabara ya Morogoro...ile barabara ilekeayo Msakuzi, Mpiji Magoye hadi Msitu wa Pande huko.
 
Mimi sio msemaji wa jamaa ila nitamjibia hilo la pili. Amesema karibu na St. Ann's. Hiyo shule ipo kama 1/2 km from Morogoro Road njia ya kuelekea Makabe-Msakuzi. Ni mjini sana.

Cha muhimu hapo aweke bei ya kiwanja na gari pamoja na picha.

Bei ya gari ni 14m picha ninazo kwenye cmu lakini nimeshindwa kuzingiza itabidi mpa nitakapo kwenda kwenye Internet maana kwangu umeme hakuna. Lakini kwa anayetumia Whatsapp atoe namba then nitamrushia picha.
 
Mkuu amesema St. Ann's japo yeye kaandika St. Annes ila hiyo shule inaitwa St. Ann's. Unaingilia pale Mbezi Mwisho stendi ya daladala ya zamani njia ya makabe, upande wa kushoto kama uanelekea makabe ndipo ilipo hiyo shule. Ni ya Wakatoliki wa shirika (silikumbuki).

Hiyo St. Anne Maria ipo Kwa msuguri, unashika njia ya upande wa kushoto kama unaelekea Moro. Unakwenda weeeeeee, unapita Gift Skillfull Schools, unaendelea kwenda mbele huko ndipo unaikuta hiyo St. Anne Maria.
 
kiwanja kikubwa 3/4 heka kinauzwa kipo Mbezi Luis karibu na st. annes academy school, kina Hati.
Gari Toyota Noah 2002 model namba mpya inauzwa. cell 0717 295 295.

Mi bado nasisitiza umuhimu wa kukamilisha matangazo tunayoleta humu JF,
kama hilo la gari aisee mbona lipo sharo hivyo mkuu hebu weka sawa basi agriiiiiiiii!!
 
Nimekupata mkuu, kwa maelezo yako itakuwa ni ile barabara inayopita mbele ya Arafa Dispensary...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…