House4Sale Kiwanja na Nyumba vinauzwa Magu Mjini mkoani Mwanza

House4Sale Kiwanja na Nyumba vinauzwa Magu Mjini mkoani Mwanza

mageta mageta

New Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
4
Reaction score
3
Kiwanja kina nyumba yenye vyumba viwili na sebure kimoja ni master.
- Kiwanja ni 624m2
  • Kuna maji hapo hapo (ya uhakika) na umeme(wa uhakika)
  • Dk2 bara bara ya lami
- frem ya biashara moja
  • Nyumba yenye vyumba viwili sebure chumba kimoja ni master
  • Mahali MAGU MJINI
  • BEI NON NEGOTIABLE 6.8mil
- BEI NI SAWA NA BURE WAHI KABLA HAIJABADILIKA.
0656735641/0746107191/0734847600


IMG-1596.jpg

IMG-1594.jpg


IMG-1593.jpg


IMG-1592.jpg
 
nitumie picha whatsapp 0683011003 nikusaidie kutangaza.

nipo jijini mwanza

pia kwa wanaohitaji mashamba makubwa kwa ajili ya uwekezaji kama shule hospitali kilimo n.k mnitafute.

nina shamba la eka 25 kisesa liko karibu na barabara, Tshs mil 100.

nina shamba la eka 8 linahitaji mteja Tsh 12million

nina maeneo mengi sana buswelu, fumagila, bujingwa, igoma, kishili

karibuni sana mje mjionee wenyewe tufanye biashara.

serious customers, call me 0683011003
 
Back
Top Bottom