Accidental Genius
Senior Member
- Aug 17, 2019
- 154
- 188
Ft45×45 ni mm, ft, km au lita?
ft 45,kwa 45 sawa na 15m kwa 15m,uko timamu kweli?au unamaanisha 5.5m?Kiwanja 45x45 kikiwa na pagale kinauzwa.
Vyumba 4 na 2 master.
Eneo zuri na kubwa
Kipo Mtwara mjini hatua chache toka stendi kuu ya Mabasi Chipuputa.
Hatua chache toka main road ya Mtwara to DSM.
Hatua chache toka ufukweni.
Umeme na maji vimefika.
Bei 54mil.View attachment 1186636
Mimi si mjuzi sana katika vipimo.ft 45,kwa 45 sawa na 15m kwa 15m,uko timamu kweli?au unamaanisha 5.5m?
Yeah54m , really????
Kwa bei hiyo kila la kheri mkuu.
Mil 54 mtwara? U cant be serious
Kwa bei hiyo kila la kheri mkuu.