Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello Team, kiwanja kinauzwa Kiko njia ya kwenda Namanga, kwa wale wanaojua By pass ya Ngaramtoni Kiko karibu na hapo au CRDB ya Ngaramtoni ARUSHA. Size ni 25 kwa 25 ni meter 200 kutoka barabara kuu , maji yapo , umeme upo.