Kiwanja nikiuze au nijenge apartment ya chumba, sebule, choo na jiko?

Mikepoti

Senior Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
101
Reaction score
136
Wadau naomba mnisaidie ushauri ,nina kiwanja cha sqm 1000 nawaza nikiuze au nijenge apartment ya chumba ,sebule,choo na jiko !!
Lengo la kukiuzaa nataka nibadilishe eneo nikanunue sehemu nyingne!
Nahofia kujenga apartment kwa sababu kile kiwanja kipo mbali (zanzbar) nahofia control itakuwa ngumu ya kukusanya kodi!
 
Kiko eneo gani na ilikuwaje wewe mtu wa bara ukamiliki ardhi znz
 
Znz ardhi ina bei kubwa sana bora ukiuze utapata mkwanja mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…