Hello mkuu Madai,
Nilifikiria nikiwa na us$ elfu 12(12,000) naweza kujenga Dar walau kibanda cha kufikia,hiyo bei ya kiwanja imenivunja nguvu kabisaa.Au hiyo nukta ipo baina ya 1 na 5 yaani isomeke TSHS Mil 1.58?Kweli bongo tumetoka zamani
Shukran mkuu,Size kasema nusu heka,yaani eneo hilo ni eka moja na robo ( heka moa sawa na eka 2.5), pili eneo lote la Tabata/segerea/kinyerezi usitegemee kupata kiwanja cha size ya nusu eka kwa bei unayosema wewe.
Hata hivyo bei ya jamaa iko juu sana mkuu. Angalia pengine.
Shukran mkuu,
Kwa mfano maeneo gani hapo Dar naweza kupata kujenga kibanda(including kiwanja+ujenzi) kwa hizo senti zangu?Anyway,nikishindwa kabisa nitarudi kule kwetu nikajihifadhi.
Jaman namii naomba m2 mwenyevyumba viwili yaan sebule na chumba awasiliane na mimi yale maeneo ya Tabata. Nyumba ya geti. Au namba ya dalali wa huko itakua msaada poa. Thanx
wala vumbi wana ona ufahari kulanguliwaWabeba box wanashangaa!
Wabeba box wanashangaa!