Plot4Sale Kiwanja Nyashishi, Mwanza

Plot4Sale Kiwanja Nyashishi, Mwanza

kevoo 27

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
407
Reaction score
383
Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo)
Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu.
Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado hakijapimwa, umeme upo.
Kutoka barabara kubwa mpaka kwenye kiwanja kwa boda boda ni elf 1000
Mawasiliano 0719691186
 
Mbona hapo pembeni kuna dimbwi. Pia kona ya kushoto imepinda
 
Back
Top Bottom