Video ya nn? Mbona hapo kunaonekana kuna bondeSalaam,
Mwenyewe anauhitaji wa haraka.
Location: kigamboni, Kibada.
Anauza kiwanja chenye ukubwa wa meter 20 kwa 20 (sqm 400).
Kiwanja kina nyumba yenye chumba kimoja Chenye choo ndani.
Kiwanja kinapatikana Kibada stand.
(Meter 600 kutoka Kibada stand)
Eneo lote ni tambarare.
Karatasi za mauziano ya kiwanja kutoka serikali ya mtaa zipo.
Unaweza kupitia njia ya tuangoma au ferry zote ni sahihi.
Bei : 4m
Nimeshindwa kuweka video hapa.
Kwa anayehitaji video naweza kumtumia kwa njia ya WhatsApp.
Contact: 0756 832833
View attachment 946793
Acha maneno ya shombo kwenye biashara za watu!Video ya nn? Mbona hapo kunaonekana kuna bonde
Duh! Kuna kipi kibaya niliandika hapo mpaka unijibu hivyo?Acha maneno ya shombo kwenye biashara za watu!
Hapa duniani jitahidi sana usidharau biashara/kazi za watu!)
Mwenzio anataka aweke video ya kuonesha eneo lake lote ili kuvutia wateja,wewe unasema "video ya nini" pia unasema kuna "bonde"Duh! Kuna kipi kibaya niliandika hapo mpaka unijibu hivyo?
Huyu dalali halafu inaonekana jeuri sanaUnazingua mbona nyumba hatuiyoni
5m cashKIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KARIBU NA CHANGANI BEACH, UKUBWA WAKE NI SQM 930,KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARA YA ARDHI,BEI YAKE NI MIL 9
Sogea sogea kidogo mkuu tufanye biashara5m cash