Weka Bei,
Seriousness ya kulazimishwa umeona wapi,weka bei then maswali yafuate.
Halafu segerea ina majina ya vitongoji vyake,shule ya Magoza ndio nini
Viwanja viko vingi, bei ndo mitivation factor, hapo hujasaidia ni kama umesema upepo uko baharini..weka beiiHi. WanaJamiiForums,
Tunauza kiwanja Segerea; Kiwanja hicho kipo Segerea katika eneo zuri ambalo linafaa kwa biashara na karibu na Sekondari ya Magoza, kimepimwa na hati zipo. Mauziano yatafuata taratibu zote za kisheria.
Ukubwa wa kiwanja ni meter 20 kwa 20. Bei maelewano. Kama upo serious.
Kwa mawasiliano piga simu +255 685 652 061 au +255 689 417 472