Plot4Sale Kiwanja Sqm 400 Mivumoni Dar es Salaam

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,591
Reaction score
1,616
Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 400 kinauzwa kwa shilingi Milioni 12.
Kiwanja kiko wilaya ya Kinondoni eneo linaloitwa Mivumoni pia kiwanja kiko mita 700 kutoka Mivumoni Senta na kiko barabarani kabisa.
Huduma ya Maji na Umeme zipo.
Tuwasiliane inbox tufanye biashara.

 
Mkuu naomba tuwasiliane nije kupaona. Naona kidogo pana ka mteremko. Nakuja inbox
 
Wazee wa kazi karibuni sana tufanye biashara. Bei ni nzuri sana ukilinganisha na thamani ya eneo na mahali lilipo. Huduma za Umeme na maji zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…