Ukubwa wa kiwanja: 700 SqM (Mita za eneo). Upana mita 20 na urefu mita 35.
Bei: 10.5m (15,000/= kwa sqm 1)
Maelezo mengine: Kiwanja kipo surveyed na imebaki kumilikishwa kwa maana ya kupata hati kwa mnunuzi kwa jina la mnunuzi. Kiwanja kipo kama mita 900 toka bahari ya Hindi.