mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
Eh! Pesa ya Zimbabwe.M280😳😳😳
Pembe tatu kwa mil 280, Kiluvya?
😆 😆 😆 Hapo sawaEh! Pesa ya Zimbabwe.
Aupo serious mkuu, jiridhishe wewe kwanza na bei 280M for 4800 is equivalent to almost 60k/Sqm KiluvyaNi kikubwa sana mkuu chek square meter zake,kina hati lakini pia kinaface barabara.Hiki ni kwa ajili ya investment kubwa
Maongezi yapo mkuu,usihofie hio bei
KMMK walahi. Huna hata aibuNi kikubwa sana mkuu chek square meter zake,kina hati lakini pia kinaface barabara.Hiki ni kwa ajili ya investment kubwa
Maongezi yapo mkuu,usihofie hio bei
linafaaa mkuu...matumizi yyote ya kibiashara yanafit kwenye eneo iwe ni hotel,sheli,godown au hata yardhoteli vipi kitafaa?
ni eneo ambalo liko waziHiyo bei ni kiwanja tu?
Kama eneo lako ni matumizi ya shamba litaandikwa farm x...Mi nauliza tu, manake sina utalaamu wowote. Hivi kwa mfano serikali ikaamua kuwapimia wananchi ardhi kwa ajili ya mashamba. Hivi eneo langu na lenyewe litaandikwa "Plot No. X" au kwavile ni kwa ajili ya shamba eneo litaandikwa, kwa mfano "Farm No. X"?
Mkuu usiwapotoshe watu. Kiwanja kama kina hati kinakuwa na matumizi tayari. Hiyo huwezi tu kuamua unajenga nini ni lazima ufuate kilichoandikwa kwenye hati. Labda uombe kubadili matumizi ambayo ni process nyingine.linafaaa mkuu...matumizi yyote ya kibiashara yanafit kwenye eneo iwe ni hotel,sheli,kiwanda,shule,godown au hata yard
Kiwanja kikiwa na hati kwa ajili ya matumizi ya biashara (commercial land uses) basi biashara kadha wa kadha zitacover hapo mfano hotel,sheli nk...Mkuu usiwapotoshe watu. Kiwanja kama kina hati kinakuwa na matumizi tayari. Hiyo huwezi tu kuamua unajenga nini ni lazima ufuate kilichoandikwa kwenye hati. Labda uombe kubadili matumizi ambayo ni process nyingine.