Habarini wakuu wote kwa ujumla,
Napenda kuwafahamisha wadau wote ambao mmekua mkitafuta au kuwaza kupata kiwanja kizuri Tegeta,Mivumoni Eneo la Umoja Road.
Kiwanja kinauzwa .
Ukubwa Sqm 2000
Bei:100m Maelewano kdg yapo.
Hati ipo safi kabisa.
Sehemu ni nzuri na kiwanja kina majirani kushoto na kulia ambao wameweka ukuta.
Sehemu imejengeka na ni sehema kistaarabu sana
Tuwasiliane Private kwa ambae yuko serious.
M