Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
Asanteni!
Mkuu pesa yake tu,anaweza kupata!!Nakushauri Sogea huku kwetu Bunju au sogea mbele kidogo Mapinga. Heka moja Tegeta huwezi kupata. Tegeta ushakuwa mji mama. Labda kama unataka kiwanja.
Tegeta kupata heka moja na nusu iliyo wazi ni ngumu sana labda ununue nyumba mbili au zaidi ndio unaweza kupata eneo hilo pamekuwa mjini sana kiasi kwamba viwanja haviuzwi kwa heka tena ni mita kadhaa tu pia gharama yake inaweza kuwa kubwa sana ingawa sina uhakika mie nilitafuta miaka flani ya nyuma eneo la kujenga nyumba ilikuwa ina-rangi kuanzia milioni 25 mpaka 50 tena kama robo heka hiviMkuu pesa yake tu,anaweza kupata!!
15 M Tshs hakina docsWakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
Asanteni!
Wakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
Asanteni!
15 M Tshs hakina docs
Wakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
Asanteni!
Labda baada ya kuusikiliza wimbo wa JEMBE NA PANGA!Kwa Darisalama hili ni shamba....tegeta hakuna mashamba
Huko mbali sana babu...labda kama utakua unanipa lift!Asante kwa ushauri lakini!Nakushauri Sogea huku kwetu Bunju au sogea mbele kidogo Mapinga. Heka moja Tegeta huwezi kupata. Tegeta ushakuwa mji mama. Labda kama unataka kiwanja.
Dah kumbe kuna bei hivyo?Mi nimepata nlitaka kujua kama kunalipa!Asante mkuu!!eneo hilo pamekuwa mjini sana kiasi kwamba viwanja haviuzwi kwa heka tena ni mita kadhaa tu pia gharama yake inaweza kuwa kubwa sana ingawa sina uhakika mie nilitafuta miaka flani ya nyuma eneo la kujenga nyumba ilikuwa ina-rangi kuanzia milioni 25 mpaka 50 tena kama robo heka hivi
Usinunue kiwanja bila hati. Utaliwa.Mi nimepata tayari!Ila huyo anaeuza bila hati mtu atajuaje kama ni chake kweli?Ndo ile mtu umeanza kujenga unaletewa mmiliki mwingine!