Plot4Sale Kiwanja ukubwa: 1200 square meter kinauzwa: Salasala kwa Waitara

Plot4Sale Kiwanja ukubwa: 1200 square meter kinauzwa: Salasala kwa Waitara

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Ukubwa wa Kiwanja: 1200 Mita za Mraba.
Kimepimwa: Ndiyo.
Kina Hati: Ndiyo.

Bei: Tshs Milioni 100 ( Maelewano yapo )
Eneo kilipo kiwanja: Salasala Karibu na kwa aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Waitara.

Tuwasiliane: 0742141467

IMG4.jpg
IMG1.jpg
IMG2.jpg

IMG3.jpg

IMG1.jpg

IMG5.jpg
 
Bei kubwa Sana labda nikupe hela za Zimbabwe hiyo 100m
 
Badala ya kutuonesha kiwanja unatuonesha barabara watu wengine kwenye marketing 0% kabisa
 
Hiyo milioni 100 sababu kipo karibu na waitara?
Kwa sababu kina ukubwa wa mita za mraba 1200 ( sawa na viwanja vitatu vya 20 kwa 20 ) pia kipo umbali wa kilomita 4 kutoka barabara ya Bagamoyo pia eneo lipo kwenye mazingira mazuri yenye huduma za umeme, maji, hospital, shule nzuri, masoko, pia lina barabara nzuri.
 
Dah
Bro,Naomba uangalie tena jambo lako.
 
Back
Top Bottom