Plot4Sale Kiwanja

Uniquegal

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
27
Reaction score
14
Offer ya kiwanja kwa siku tatu tu Mwembe mtengu kwa shillingi millioni moja na laki mbili ukubwa wa miguu 27 kwa 23 ila hati bado haijatoka ina makabidhiano ya serikali ya kijiji...mwenye anakitaka namba ni 0717096275 mwisho tarehe 30th March 2017.
 
Mwembe mtengu ndo wapi mkuu? Elezea vizuri mkoa na wilaya na sifa za eneo mfano upatikanaji wa maji, umeme, barabara na miundo mbinu mingine muhimu na usalama wa eneo. Utampata mteja haraka sana
 
Mwembe mtengu ndo wapi mkuu? Elezea vizuri mkoa na wilaya na sifa za eneo mfano upatikanaji wa maji, umeme, barabara na miundo mbinu mingine muhimu na usalama wa eneo. Utampata mteja haraka sana
eneo liko mbele ya kibada kigamboni vituo vya mbele unashuka mwembe mtengu then unatembea kuelekea kushoto kama dakika 15, maji yapo umeme wa kuvuta kama nguzo moja....barabara yakushuka ni ya vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…