Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Mungu amewakatalia na wakileta ukaidi,wataondoka wao!..Mungu hadhihakiwi
nawahurumia wasiofahamika kwa nondo kali wanazoshushiwa.Du sijui kama wanasoma jinsi watu wengi walivyochukizwa na uharamia wao.
 
watajiju
 
HISIA HISIA TU HAKUNA UKWELI WOWOTE WA USHIRIKI WA VYOMBO VYA DOLA NI ASSUMPTIONS ZISIZO NA CHEMBE YA USHAHIDI.
Mungu huwa hahitaji ushahidi maana anaujua ukweli wote. Hakuna haja ya kumtuhumu yeyote lakini kuna haja ya kumwomba Mungu ili asikie kilio cha damu ya Lisu kinachodai kisasi mbele za Mungu. Kisasi ni halali ya Mungu, na lazima ataitendea haki damu ya Lisu.
 
Ona jinsi ambavyo waliomuua Chris msando wanavyoteswa na dam yake huko Kenya. Ndivyo hivyo hivyo dam ya SAA nane itakavyowatesa na kuzidi. Pia dam ya lissu itawamaliza .
 
Kwani yeye ndiyo mhusika mkuu jaribio la kumuua Lisu kipenzi na mtetezi wa rasilimali za Watanzania? Kama ni kweli kwa kuwa malaika wa Mungu wanajua na wanaishi nao moto wa Mungu kutoka mbinguni utawshukia kabla ya mateso ya Yesu kuanza!
 
Clip ya muheshimiwa inatisha! Hakuna uhuru wa kuongea kile unachofahamu! Ni pale ninapoelezea fikra zangu nakuitwa mropokaji.
 
Ww unajielewa cyo kama mafala wa jembe na nyundo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…