Kiwila kwafuka moshi

Kiwila kwafuka moshi

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Nimepata taarifa toka kwa mtu aliye mbeya mjini kuwa kuna maandamano ya wafanyakazi wa kiwila coal mine ati wana miezi minne hawajapata mishahara yao.Mwenye nondo zaidi mwaga hadharani
 
ni kweli jamaa yangu hivi sasa yuko katika maandamano hayo
 
Back
Top Bottom