Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Dec 13, 2008 #1 Nimepata taarifa toka kwa mtu aliye mbeya mjini kuwa kuna maandamano ya wafanyakazi wa kiwila coal mine ati wana miezi minne hawajapata mishahara yao.Mwenye nondo zaidi mwaga hadharani
Nimepata taarifa toka kwa mtu aliye mbeya mjini kuwa kuna maandamano ya wafanyakazi wa kiwila coal mine ati wana miezi minne hawajapata mishahara yao.Mwenye nondo zaidi mwaga hadharani
SaidSabke JF-Expert Member Joined Sep 28, 2006 Posts 2,071 Reaction score 402 Dec 13, 2008 #2 ni kweli jamaa yangu hivi sasa yuko katika maandamano hayo