Kizazi bora Tanzania kiongozwe na agenda nne muhimu

Kizazi bora Tanzania kiongozwe na agenda nne muhimu

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Ukiangalia nchi inakoelelekea kwa kizazi kipya na cha kileo Tanzania, bila kujali itikadi ya chama chochote, dini, kabila na ukanda, agenda muhimu kwa sasa ni Katiba Mpya, Tume Huru, Ulinzi wa Raslimali za nchi, upatikanaji wa teknolojia bora, maisha rahisi na bora kwa nchi yetu.

Na hivi vitahitaji uongozi bora, Sera nzuri na mifumo thabiti haya ndiyo kama vijana wa ki leo tunahitaji kwa sasa. Tushikamane kuyatetea. Tunaomba tuwe na platform ya pamoja kama vile Baraza la Vijana. Tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom