Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Tuko kwenye kizazi ambacho mdada ana-date na Frank kwa zaidi ya miaka mitano, shoga zake wanamjua Muddy, nyumbani kwao wanamjua Juma tangu shule.
Wakati huo amemtambulisha Ibra kwa shangazi yake, amechumbiwa na Omary, akazalishwa na Collin, analipiwa kodi na Masanja, amezaa na mme wa Anna, badae anakuja kuolewa na Pius baada ya kufumaniwa na kuachwa na Sumeiman.
[emoji13][emoji13][emoji13]
Uzi tayari[emoji120]