Ni cha kishujaa toka enziTunapo elekea kuoa kutaonekana kama kitendo cha kishujaa.
Huwezi fananisha enzi hizo na sasa, zamani wazazi walikuwa na nizamu ya hali ya juu, true love ilitamalaki, kila mtu aliridhika na hali aliyokuwa nayo mwenzake, kulikuwa hamna hizi kampeni za wajuaji (50/50),hamna social networks ambazo walimu wamekuwa wengi na kila mmoja na mtaala wake,so zamani na sasa vitu 299736628........ tofauti.Ni cha kishujaa toka enzi
noma sanaTuko kwenye kizazi ambacho mdada ana-date na Frank kwa zaidi ya miaka mitano, shoga zake wanamjua Muddy, nyumbani kwao wanamjua Juma tangu shule.
Wakati huo amemtambulisha Ibra kwa shangazi yake, amechumbiwa na Omary, akazalishwa na Collin, analipiwa kodi na Masanja, amezaa na mme wa Anna, badae anakuja kuolewa na Pius baada ya kufumaniwa na kuachwa na Sumeiman.
[emoji13][emoji13][emoji13]
Uzi tayari[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeacha alompa connection ya kazi ni Raphael, kila asubuhi anaamkia kwa boss wake Morris, jioni anatoka kazini na Jacob, bodaboda wake ni Alex na ex ambaye hatakaa amuache kamwe ni Martin.