Kizazi hiki tutahakikisha kero za muungano zinashughulikiwa ifikapo 2045

Kizazi hiki tutahakikisha kero za muungano zinashughulikiwa ifikapo 2045

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Kutokana na muungano wa sasa kuwa na makando kando (kero za muungano) ambayo miaka nenda rudi hayajaweza kutatuliwa na kizazi cha babu zetu, baba zetu.

Sisi kizazi cha DOT COM ambacho hakina mbambamba tutahakikisha kero za muungano zinashughulikiwa na kuhakikisha taifa linastawi. Babu zetu na wazazi wetu tunewapa muda wapite tu.

Tanzania 🇹🇿 inakuja

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
 
Back
Top Bottom