Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea

Kizazi kijacho cha watoto wakina Paula, hakitaelewa kabisa mambo ya sijui mwenye wa uhuru, kitawashia fegi tu.
 
Kizazi hicho cha Malampaka nacho kimepitia Nintendo?
 
1. Simu ya mezani ya kuzungusha
2. Vyama vingi
3. Ubinafsishaji
5. Microfinance
6. Leseni za vitabu.
7. Bongo flava
 

Sisi wa mwaka 1970 je?
 
we unaumwa nenda katibiwe
 
Kila enzi na zama zake. Kila kizazi kina ubora wake kwa enzi zake. Tusiwaingilie vijana wetu kwenye enzi zao wako katika ubora wa enzi zao ambao kuna wakati speed yake hatuiwezi.
 
Wajinga ndio nyie hamjiheshimu kbsaa, watu mshajizeekea bado mnataka mabinti Rika la watoto wenu? Nani awaheshimu?
Hili halihitaji hasira kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Uzee hauna maana ule vibovu, uendeshe gari bovu, uwe na nyumba mbovu au muonekano mbovu. Uzee ni numbers tu hauzuii kufurahia maisha. Siku ukifika umri wa huyo unayemuona mzee utaelewa kwa nini si ajabu kuwa na binti aliyemzidi miaka 20-30.
 
Nafikiri ungerudi nyuma kidogo mpaka 1992, angalau.
 
Mimi sahv na deal na mademu ninaowazidi miaka kumi hadi 12 maana wa umri wangu hawana mvuto tena ni wamama sana
 
Sifikirii km shida ni Kizazi,ttz lipo kwenye mapinduzi ya tehama,kwetu vimeletwa vitu vingi bila wananchi kupewa elimu ya kutosha hasa kwenye madhara,mbaya zaidi wanaotukngoza hawa kuweka mipaka kwadhana yakuogopa kuzuiwa misaada. African countries hawakua tayari Kwa mapinduzi makubwa ya tehama,ndio maana uzao wa sasa ni janga kubwa mno maana yaliopo mtandaoni nimakubwa mno kuliko control walionayo wazazi
 
Huu ni mtazamo tu mkuu ila hapa duniani Kila kizazi Kimekuja na mabaya na mazuri yake. Ufiraji, usagaji, wanawake kuolewa na mkubwa hivi vyote vimeanzishwa na vijana wa 1975-1989

👉zamani sisi wakati tunazaliwa wazazi wetu unakuta wanao lewa na miaka 16-22 kuanzia 23 labda kama kaenda Chuo na ukumbuke wasomi wanawake walikuwa wachache kwa sisi ambao wazazi wetu wamekulia vijijini


👉Leo nashangaa binti ana miaka
25 ety anagoma kuolewa 😅na wazazi wanasema ety bado mtoto

👉Na-refer siku moja johari wa kanumba aliulizwa utaolewa lini akasema anaona umr bado kipindi hcho alikua na miaka 35🥶sahv 40 years na hawa ndio wanasanabisha wadogo zetu wa 2001 kushuka chini kujiona miaka 21 bado watoto

Nihitimishe, kila kizazi kilikuwa na mabaya yake, kumbuka 1995-2010 UJAMBAZI, kuua maalbino, makundi ya kifala fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…