Elections 2010 Kizazi kipya kisichochakachuliwa kupiga kura mara ya kwanza mwaka huu

Elections 2010 Kizazi kipya kisichochakachuliwa kupiga kura mara ya kwanza mwaka huu

Kabewa

Senior Member
Joined
Oct 30, 2009
Posts
136
Reaction score
56
Kwa Mara ya kwanza kizazi kipya cha mabadiliko kitaanza kupiga kura au kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.Kizazi hiki ambacho hakijachakachuliwa ni wale vijana ambao walizaliwa kuanzia mwaka 1992 ambao ndio mwaka zilipoanza siasa za vyama vingi. kwa wale walio zaliwa mwaka 1992 mwaka huu watatimiza miaka 18 ambapo kwa mujibu wa sheria wana haki kushiriki eidha kuchagua au kuchaguliwa kwa mara ya kwanza katika chaguzi mbalimbali za nchi hii.
Ni mategemeo yangu kuwa kizazi hiki ambacho hakikuwembo enzi za chama kimoja kitakuwa na changamoto yaaina yako kwa kuwa na uhuru mpana wa kuchagua kwani hiki ni kizazi safi ambacho hakijachafuliwa na zile fikra za kukitukuza chama cha mapinduzi ambacho kilikuwepo muda mrefu kabla ya siasa za vyama vingi.
 
Back
Top Bottom