Kizimkazi Arena utabeba mashabiki 20,000 ukikamilika

Kizimkazi Arena utabeba mashabiki 20,000 ukikamilika

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Za ndaaani kabisa, uwanja wa Kizimkazi utaweza kubeba mashabiki 20,000 walioketi pindi utakapokamilika. Maendeleo hayana chama
IMG_2935.jpeg
 
Siku nikiwa Rais Kila manispaaa inapaswa kujenga kiwanja/viwanja tena kwa mapato ya ndani at least kiweze kubeba mashabiki 5000 kuendelea
 
Siku nikiwa Rais Kila manispaaa inapaswa kujenga kiwanja/viwanja tena kwa mapato ya ndani at least kiweze kubeba mashabiki 5000 kuendelea
Hv mapato ya ndani ya hamashauri zetu unayafahamu au unaota? Halmashauri ya wilaya Kakonko kigoma wanakusanya milioni 800 kwa mwaka sasa huwo uwanja utaujengaje?
 
Hv mapato ya ndani ya hamashauri zetu unayafahamu au unaota? Halmashauri ya wilaya Kakonko kigoma wanakusanya milioni 800 kwa mwaka sasa huwo uwanja utaujengaje?
Kakonko ni manispaaa???
 
Kakonko ni manispaaa???
We jamaa sijui hamnazo hv unafahamu kwamba kuna halmashauri za wilaya zinamapato makubwa kuliko Manispaa? Muleba inakusanya mapato ya ndani mara mbili ya Manispaa ya Bukoba. Kwahyo kuwa Manispaa sio kigezo.
 
Back
Top Bottom