Kizimkazi Arena utabeba mashabiki 20,000 ukikamilika

Siku nikiwa Rais Kila manispaaa inapaswa kujenga kiwanja/viwanja tena kwa mapato ya ndani at least kiweze kubeba mashabiki 5000 kuendelea
 
Siku nikiwa Rais Kila manispaaa inapaswa kujenga kiwanja/viwanja tena kwa mapato ya ndani at least kiweze kubeba mashabiki 5000 kuendelea
Hv mapato ya ndani ya hamashauri zetu unayafahamu au unaota? Halmashauri ya wilaya Kakonko kigoma wanakusanya milioni 800 kwa mwaka sasa huwo uwanja utaujengaje?
 
Hv mapato ya ndani ya hamashauri zetu unayafahamu au unaota? Halmashauri ya wilaya Kakonko kigoma wanakusanya milioni 800 kwa mwaka sasa huwo uwanja utaujengaje?
Kakonko ni manispaaa???
 
Kakonko ni manispaaa???
We jamaa sijui hamnazo hv unafahamu kwamba kuna halmashauri za wilaya zinamapato makubwa kuliko Manispaa? Muleba inakusanya mapato ya ndani mara mbili ya Manispaa ya Bukoba. Kwahyo kuwa Manispaa sio kigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…