Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
KIZIMKAZI HEALTH CENTER YAZINDULIWA KUSINI UNGUJA
Pichani ni Muonekano wa Kituo kipya cha Afya Kizimkazi au KIZIMKAZI HEALTH CENTER katika Wilaya ya Kusini Unguja ambacho kimezinduliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, tarehe January 4, 2025.
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, aliambatana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Ayoub Mohammed Mahamoud, Mama Salma Kikwete, Wanu Hafidh Ameir (Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation, MIF) pamoja na viongozi mbalimbali.