Kizungumkuti cha kodi za magari

Uncle sum

New Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na kukataliwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na kukataliwa
Naomba kuwasilisha

fafanua kidogo
 
Kuna mawakala wa forodha wengi pale stesheni (Long room) wakilalamikia TRA kutoa password kwa mawakala wachache huku wakijua ya kuwa system mpya itaanza kutumika 1/07/2014 hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mawakala na kuwapa hasara walioagiza magari na kuwanufaisha wenye yard za kutunzia magari toka bandarini (ICD).
 
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na kukataliwa
Naomba kuwasilisha


Mbona Waziri Mkuu alifafanua bungeni kuwa inabaki ile ile miaka 10? Au wamechakachua ala Bongo tena?
 
Ni kweli Waziri Mkuu aliridhia miaka kumi lakini customer care wa TRA anasema ni miaka minane hapa sijui hata nifanyeje, Napata mashaka mtekeleza sera kumkaidi mtuga sera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…