Kama na mimi nina mali ambazo zinatosheleza familia, nitamwacha mali zake aamue yeye mwenyewe ili mradi anazitumia vizuri lakini kama matumizi hayatakuwa mazuri lazima niingilie bila kujali alizipata kabla ya ndoa au baada ya ndoa.
...umeyaandika yote yalokuwamo kichwani mwangu,
ubarikiwe sana!
Anaweza kuamua kuanza kutumia vibaya baada ya kujua sasa yuko na mwenza na mambo yote kuhusu familia ni juu ya mwenza wake, lakini kama matumizi ni mazuri kwa nini nimpangie na mali ni zake?Kama angekua na matumizi mabaya usingemkuta na mali!
Anaweza kuamua kuanza kutumia vibaya baada ya kujua sasa yuko na mwenza na mambo yote kuhusu familia ni juu ya mwenza wake, lakini kama matumizi ni mazuri kwa nini nimpangie na mali ni zake?
BADILI TABIA,hakuna maamuzi ya pamoja,hakuna mahali popote pasipokua na mtu mwenye kauli ya mwisho,kwenye ndoa nako hakuna tofauti,kama unakataa mwanaume asiwe na kauli ya mwisho basi uwe wewe,lakini hujategua hicho kizungungumkuti hapo!Hebu sema utamruhusu awe na kauli ya mwisho kwenye mali yako?
Punguza hasira mkuu,Mali mali.....!! Mali kitu gani bna kaeni nazo...............ziwe waume zenu ziwapempe na ziwazalishe watoto! ARRRRRRRRRRGHHH!
Kama anaenda na njia iliyosahihi hapo sitamwambia chochote lakini kama ataenda na njia sahihi lazima niingilie na naposema kuingilia simaanishi kumzuia abadan anachotaka kufanya nimtashauri kwamba hii njia unayopita sio fuata hii utafika uendako na kama hatasikiliza ushauri wangu atapita njia anayotaka yeye na nitamwacha apite. Kumbuka nimesema na mimi nina mali zinazotosheleza familia.Kama ni hivyo kwanini umpangie mali si zake?Hata kama ataziharibu si zake?
Hii nimeipenda sana, mara nyingi mwanaume huwa ni kichwa cha familia. Siamini kwenye dini illa huwa nachukulia bible na quran kuwa ni life principle books au life experience books. Kwanza kwa mwanamke anayependa usawa kwa vitendo huwa wanaachika sana hakai na mwanamme mmoja hata siku moja. uzuri ni kwamba wengi wao huwa ni maneno tu ukimkuta kwake yuko chini kabisaaaaa, nina mifano mingi tu mimi ni mtu mzima. Anayelalama kutaka usawa ujue kwake mpole sana tu. Anataka mifano ya kumpa mumewe
Wapo wengi sn,lkn si unajua huwezi kujua kwa kuangalia source,Feis buku.Canta wanawake wa aina yako ni wachache sana now days!I wish ningepata wa mtazamo wa aina hii!
Kama anaenda na njia iliyosahihi hapo sitamwambia chochote lakini kama ataenda na njia sahihi lazima niingilie na naposema kuingilia simaanishi kumzuia abadan anachotaka kufanya nimtashauri kwamba hii njia unayopita sio fuata hii utafika uendako na kama hatasikiliza ushauri wangu atapita njia anayotaka yeye na nitamwacha apite. Kumbuka nimesema na mimi nina mali zinazotosheleza familia.
tatizo wanaume wengi hawajui usawa upi ambao unazungumziwa na wanawake wengi,....ipo hivi Usawa unaozungumzwa ni kujadiliana na mke wako kwa chochote unachotaka kufanya,kuwa mateso na manyanyaso kwa wanawake iwe mwiko sababu ni binadamu kama mwanaume...chochote anachoweza mwanamume mwanamke pia anaweza hapa naongelea dharau kwa wanaume kwa wanawake...mahitaji muhimu anayohitaji mwanamume na mwanamke anayahitaji hayo hayo....so hapana kunyanyasana kisa wewe ni Kichwa wakati kichwa hakiwezi kufanya shughuli zote bila ya moyo...so hapa usawa ni kusikilizana na kufanya maamuzi kwa pamoja.....hakuna cha mwanaume wala mwanamke hapo
BADILI TABIA,nimekuelewa vyema na nimekubaliana na wewe hapo,chukua tano!!