Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Habari yako TF,Being the head of household doesn't mean that you're a final decision maker.
Msitishike bwana,wengine wanakuwa wanahitaji kuelimishwa,
Hawajaona mambo haya hata kupitia kwa wazazi wao,
Au wazazi wao mama ndio alikuwa steringi na hawajui km nitofauti sana,
Hivyo msitishike,ni kuwa nao na kuwaelewesha si unajua upendo ukitawala chochote cha wezekana mkuu!
Msitishike bwana,wengine wanakuwa wanahitaji kuelimishwa,
Hawajaona mambo haya hata kupitia kwa wazazi wao,
Au wazazi wao mama ndio alikuwa steringi na hawajui km nitofauti sana,
Hivyo msitishike,ni kuwa nao na kuwaelewesha si unajua upendo ukitawala chochote cha wezekana mkuu!
:lol::lol: Wengi huwa wanachanganya na ile ya kwenye Biblia inayosema "Mwanaume ndio kichwa cha nyumba" basi wanachukulia kuwa kichwa cha nyumba ndio unakuwa na maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo.Habari yako TF,
Naona leo ni kidhungu tu,
Nimetumia dikishenari nimekuelwa,
Japo sio wanaume wote wanaelewa na kuamini hivyo!
Baadhi ya hao watu ninao wajua mm hawana ndoa!mi hujiuliza hivi wanaharakati wa Tamwa, Tawla, Tgnp hayo wayasemayo kwenye ndoa huyafanya? Au ni porojo za nje tu? Nijuzeni jamani
Final decisions in any relationship are best made by both people. The idea of a man having the final say is old school and not the best way to proceed. If it's a decision that will affect me, I want to have had my say. If it's something that affects us both (my wife and me) we need to agree on it.
Wala hujakosea TF,:lol::lol: Wengi huwa wanachanganya na ile ya kwenye Biblia inayosema "Mwanaume ndio kichwa cha nyumba" basi wanachukulia kuwa kichwa cha nyumba ndio unakuwa na maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo.
Hahahahaha!!! Mbu there's a tiny cute fish somewhere, hiyo ndoano yako usiende nayo kwenye lile bwawa la maji pale jirani nimeishawahi nafasi usije ukaanza kuvua samaki niliokuwa nawapa chakula yapata miezi 9 iliyopita:lol:....lol....e bana weeee? unamvizia nani humu wewe na maujiko hayo? hahahaha!
Kama sina mali ni wazi nitakuwa fully involved kwenye mali zake na mali zake ndo zitaibeba familia, kwa hiyo nikiacha akitumia vibaya huoni kama familia itateseka?So what are u trying to say hapa ni kuwa umuhimu wa kumsimamia mwanamke na malizake ni mpaka uwe huna mali?
Baadhi ya hao watu ninao wajua mm hawana ndoa!
Hao wengine sijui,ndio maana hata mie maneno yao huwa nasililiza tu!
Tunajitahidi kuwaweka sawa akina Eiyer waelewe umuhimu wa kushirikiana na wenza/girlfriend zao na wadhifa unabaki pale pale hakuna kinachobadilika cha msingi ni kuhakikisha wewe kama Mke/Mume unaileta familia yako mbele wa Mwenyezi Mungu na kuiombea ili kila jambo au maamuzi mtakayofanya basi kusiwe na mgongano au mmoja akajiona ni bora kuliko mwingineWala hujakosea TF,
Kwakweli mungu na kuweke na moyo huo huo na uelewa huohuo siku zako zote za maisha yako lol!
Jaman waelimishen wanaume wenzenu,mambo ni kushirikiana na wadhifa wenu utabaki pale pale!
Katika hili mm naamin km nitakuwa na kipato kikubwa kuliko mme wangu,
Kipato changu hakina nafasi ya kubalidi wadhifa wa mume kwenye ndoa,
Hata nina pesa kiasi gani nilishindwa kuwa peke yangu,ndio maana nikamkubali kuolewa naye na kila kilichokuwa changu inakuwa vyetu wote km tulivyoamua kuwa mwili mmoja,
Pamoja na kushirikishana ktk maamuzi na kila jambo bado yy atabaki kuwa mwenye maamuzi ya mwisho km baba wa familia.
Hahahahaha!!! Mbu there's a tiny cute fish somewhere, hiyo ndoano yako usiende nayo kwenye lile bwawa la maji pale jirani nimeishawahi nafasi usije ukaanza kuvua samaki niliokuwa nawapa chakula yapata miezi 9 iliyopita:lol:
Dah,wale hawshindwi,na hivi wanazijua na sheria za haki za binadamu!Wanaume wengi tunawaogopa dah...binafsi nawaogopa hao...inaweza pangwa ratiba ya kudo usipokuwa makini..
Dah! swaiba leo umejaa mabusara,Tunajitahidi kuwaweka sawa akina Eiyer waelewe umuhimu wa kushirikiana na wenza/girlfriend zao na wadhifa unabaki pale pale hakuna kinachobadilika cha msingi ni kuhakikisha wewe kama Mke/Mume unaileta familia yako mbele wa Mwenyezi Mungu na kuiombea ili kila jambo au maamuzi mtakayofanya basi kusiwe na mgongano au mmoja akajiona ni bora kuliko mwingine
Wengi wanajua,na yale wanayosemaga ni maneno tu,... dah safi sana! waambie wenzio wabadili tabia! lo
Dah,wale hawshindwi,na hivi wanazijua na sheria za haki za binadamu!
Na ukilinganisha na speech zao kaaazi kweli kweli!
:lol::lol::eyebrows: Leo full upako hadi kwenye keyboard hapa button zote zinanena kwa lugha na kumuimbia bwana mapambioDah! swaiba leo umejaa mabusara,
Nahisi umeokoka au msemo wako uliomwambia mbu una kaukweli fulan lol!
Kuna watu wakiona namna ulivyoanika leo hataamini watajua kuna mtu ameiba pasiwedi yako!
Ashukuriwe mungu na aliyekufanya uwe hivi na hali hii idumu milele amina.