DexterLab
Senior Member
- Oct 17, 2024
- 161
- 193
Anaandika Martin masese
MUHUNI kama HKigwangalla mbunge wa Nzega Vijijini. Dkt. Manguruwe alikuwepo bungeni wakati tozo/kodi katika michezo ya kubashiri zinapitishwa.
Mwaka 2012/2015, serikali ya Tanzania ilibadilisha sheria ya michezo ya kubashiri matokeo (betting) na kuongeza kamari nyingine waliyoipa jina online cassino.
Serikali ikaeleza, kila ‘odd’ atakayokuwa anaweka mteja, serikali ya Tanzania itachukua 6% kama kodi na mteja atakaposhinda, serikali itachukua asilimia 18%.
Maana yake, Serikali ya Tanzania inakusanya kodi kutoka michezo ya kubashiri matokeo (betting). Wabunge wa CCM wameridhia kupokea pesa hizo.
Kwenye ‘dubwi bonanza’ kumeandikwa maneno: United Republic of Tanzania, Ministry of Finance and Planing, Gaming Board of Tanzania. Zimeidhinishwa na Serikali.
Katika miaka mitano ya uwepo wa SPORTPESA Tanzania wamechangia pato la Taifa kwa kulipa kodi kwa Serikali jumka ya Sh. Bilioni 434.7 (majumuisho kodi zote).
Washindi waliopatikana kutokana na kubashiri kwa ufasaha wamelipwa Sh. Bilioni 63.3 hizo zikiwa ni hesabu za kipindi cha miaka mitano hadi kufikia Mei 2022.
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (Gaming Board of Tanzania - GBT) imeanzishwa kwa Sheria ya Bunge, The Gaming Act Cap. 41. Dkt. Manguruwe hajaipinga.
Julai 2022, Dkt. Manguruwe akiwa bungeni alishiriki kupitisha Kanuni za Michezo ya Kubahatisha Mitandaoni, 2022. Aligonga meza mikono ikabadilika rangi.
Kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (Gaming Board of Tanzania) ilieleza mchango wake katika kuchangia pato la Taifa.
Lengo la serikali limefikiwa kwani makusanyo kwa mwaka 2022/2023 ni Sh. 173bn, na mwaka wa fedha 2023/2024 yanaweza kuongezeka na kufikia Sh. 200bn
Kiwango cha uwekezaji wa michezo ya kubahatisha katika jiji la Dar es Salaam kinaonyesha kuna jumla ya mashine za kucheza michezo hiyo 3,038.
Huo ni mchango wa kodi katika mfuko wa Serikali. GBT wameeleza kwamba, michezo ya kubashiri matokeo imetoa ajira 25,000 kuanzia 2006/07 - 2022/23
Mbunge ambaye alipitisha makadirio ya bajeti Kuu ya Serikali kutumia mapato ya michezo ya kubashiri anasema betting ni upuuzi usiosaidia lolote katika nchi.
Kama kweli anamaanisha anachoandika hapa, kwanini hakushika shilingi ya mshahara wa Waziri hadi Sheria ya michezo ya kubahatisha ifutwe? Porojo tu.
2023/2024 Serikali ilikamata mashine haramu 715. Pia, watuhumiwa 27 na kukusanya faini ya Sh236.7 Milioni. Dkt. Manguruwe hakusema hizo ni faini haramu.
Badala yake, RAIS alipokwenda Tabora, Dkt. Manguruwe alipanda jukwaani na kumwaga sifa kwamba mkoa wa Tabora hawamdai chochote Rais. Kichekesho.
Dkt. Manguruwe halisaidii Taifa. Unapinga michezo ya kubashiri matokeo (betting) ukifika Bungeni unapitisha Kanuni za Michezo ya Kubahatisha Mitandaoni.
Dkt. Manguruwe asiwe kama ‘chichidodo’ kujifanya anachukia betting lakini mapato yatokanayo na betting anayashangilia na kumwaga pongezi kwa MAMA.
Brigedia Mtikila, MMM. WanShiTong