Mhhhh, no strait cut answer. Hamna aliye tayari kudefend moja kwa moja upande mmoja. Right now ninaye mmoja tu ninaye mwamini, but sometimes nakumbuka kuwa mwanadamu hatabiriki, inawezekana akazidiwa ujanja akatembea na mtu mwingine na ni wazi kuwa hawezi kuja niambia hvyo atanificha na inawezekana akaniweka katika hali hatarishi. Life is so chalenging.
Actualy maisha halisi siyo kama nilivyo ya conceive kichwani, '' the perfect life'' does not exist in this world.