Kizuri kinajiuza, kibaya chajitembeza, kisicho na haya chalazimisha

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa.
Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani.

As Human beings, we have a free will, we observe, we think and we draw a conclusion. Forcing someone to draw the same conclusion as "yours", is the same as trying to shut down their thinking and forcing yours to them, which is a stupidity at the highest level.

Uzuri/ wema haujifichi, watu watauona, hivyo hivyo, ubaya, haujifichi, watu watauona. Pia hata kama ungekua mwema, bado huwezi kukubalika na wote.

Kuna watu wamekosa haya na wala hawajui vibaya, wanalazimisha kupendwa, mambo ya ajabu sana haya. Kama hukubaliki hukubaliki tu.

Hata the hottest handsome person ( me) bado anawatu hawamkubali, sembuze .... πŸΈπŸ‘ŒπŸ‘Œ. Tenaaaaaaaaaaaa

Long live JF
 
CHAPATI... one -o- two to the mix🎀🎀
 
Hivi Dully ana elimu gani?
Kwanini watu wana mzushia uovu kwenye mitandao ya kijamii.?.
 
Umekua mtu wa kwanza kucomment kwenye uzi wa mshikaji wako, bila shaka ni eidha unapata notification au anakupa taarifa PM.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maninaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…