"Kizuri Kula na Wenzio". Watu wa Dar Mmekula au Hamkula?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Mdau mmoja maarufu hapa jf alikuja na thread HII HAPA.
Wanajf wa dar ndio walokuwa kwenye nafasi nzuri ya kuona plate number ya KASINDE mtaani.
Mrejesho wake vipi? Yupo au hakuna aliyepata hiyo bahati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…