Kizuri na kibaya, Heshima na mitazamo katika jamii

Kizuri na kibaya, Heshima na mitazamo katika jamii

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi.

Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na kwamba nilikuwa kijana mkubwa home, lakini sikuwa na access ya kuendesha pikipiki ya mshua,

Nilikua nafanya kazi sehemu napata posho, Sasa jirani yetu kulikua na familia moja huyo police alikuwa na magari kama mawili, ya kawaida tu yakizamani (tax) pamoja na pkpk, huyo police akawa kasafr,
mke wake akawa kanipa pkpk mimi nakula nayo mitaa kama ya kwangu, siunajua vifaa vya mato havitakiwi kukaa bila kupashwa kidogo.

Aisee kumbe Mshua wangu hicho kitendo kilikua kinamkera balaa, mm sijui.

Na hasa alikuwa anahisi mimi natakwa na yule mke wa police,
Kiukweli huyo Mwanamke alikua best yangu kimtindo lakini akili ya kwamba kuna kitu cha ziada anataka kwangu sikua nayo kabisa, kwa ujinga wa siku hizi nafikiri ningeonekanq nimepata mshangazi, but sikuyajua hayo.

Nilibaki tu nashangaa Mshua wangu anawaka utafikir nimegusa pikipiki yake, mala hataki kuniona naongea na watu fulani.

Nabaki nashaangaa mzee ananionaje lakini. Ila nikitabiq cha mapolice kila mtu anamuona jambazi.

Nimegundua mala nyingi mitazamo ya watu waliokuzunguka ni wakatishaji tamaa wakubwa.

Mimi nilitengezeza bango ofisini kwangu kuna mladi mpya nimeanzisha wa kiufundi,

Aisee wanao ona siwezi ni majirani tu, wanahisi kama wananijua undani wangu sana na kujua naweza nini na siwezi nini.

ila chaajabu ukifanya jambo lako ukafanikisha, wanakuja kinafik na kuomba omba juu bila hata aibu kabisa.

Nadhani Maisha ya Kujitenga Yanakua Salama Zaidi. Sio shobo na Mfanyakazi mwenzio ofisini mwisho wa siku vitendo ya bartazal vinaanza kutokea 😮‍💨

Muwe na Jumatano njema wapambanaji wote.
 
Title inaeleweka ila content huku chini iko poor bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom