lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Wale wapenzi wa ngoma za Dini kuna hii ngoma inaitwa EKUEME, Ekueme ni neno la ki-Igbo huko Nigeria likimaanisha Mungu anayeahidi, anayesema na kutenda ni spirit song nzuri sana ukipata na video itapendeza zaidi ina.
Connection na mambo ya rohoni direct na kama ni mwepesi wa machozi kama Mimi utalia sana, ni ya kuabudu, kushukuru, kujitafakarisha kuhusu ulipotoka na ulipo kwa muono wangu itafute song by Prosper Ochimana na Osinachi Nwachuku...