kizushi

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
unaamini mapenzi ni hisia?kama ni ndio toa maelezo......,then na ni kip kinachosababisha kumpenda mtu?..............,toa maelezo plz maswali hayo yananiumiza kichwa nisaidien...................
 
kila swali ni marks ngapi vile?
 
mapenzi na vita ni sawa sawa......in love and war all is fair......tafakari....
 
Hakuna swali linalohusiana na upendo hapo!
 
unaamini mapenzi ni hisia?kama ni ndio toa maelezo......,then na ni kip kinachosababisha kumpenda mtu?..............,toa maelezo plz maswali hayo yananiumiza kichwa nisaidien...................

Una umri gani??????
Ushawahi penda/pendwa weye???
Ushawahi jiuliza kitu gani kilimvutia kwako huyo mtu hadi akakupenda??????
Jibu kwanza haya maswali ndio ntaweza kujibu hoja yako!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…