bila kuwasahau bulembo.nape.makambaSiasa za kizza zimepitwa na wakati kama unajua unakubalika na wananchi kwanini usitulie tu,mpaka watu waandamane ndio uonekane unakubalika.
Mbona Nigeria watu hawakuandamana.akili za Kizza kiuhalisia haziko sawa kama za Mbowe na Lema.
...Africa Mashariki yetu inachekesha sana,eti Nkurunziza mbaya, kisa, anan'gan'gania kukaa madarakani...watu wanapiga kelele nyingi sana...kumbe sababu tumeshamzoea Museveni,yeye han'gan'ganii tena madaraka ni haki yake sasa,since 1986!!
Kama issue ni mazoea,basi tumpe muda na Nkurunziza nae,ikifika 2030 tutakua tumeshamzoea kama Museveni...!!!
OMG !! aisaee hiyo quote yako wisdom ya wapi? umenimalizaa kbs..kutoka kwa museveni kwenda upinzani "a child can play wIth it's mother's breasts but not its father's testicles" God bless uganda