Kizza Besigye kulikoni

doama

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
808
Reaction score
650
Kafanyaje jamani

Your browser is not able to display this video.
 
Si nasikia kafutiwa kesi ilokuwa inamkabili?
 
At least waandishi wa habari wao wanaruhusiwa kuchukua video ya yanayojiri. Kwetu sisi tunasikia viroba vimeokotwa na miili tu au mtu anapotea kama upepo. Ila yana mwisho yote haya.
 
BONOBOS in the jungle they are always like that.
 
Africans are closely related to APES when it comes to governess.
Noo! my friend which Ape do you refer to is is Gorrila, Bonobo or Urang tan! which ever the species, all APES are well organized when comes to governess! they have established governing system that is respected by all in the community! I don't know about "Africans" but Apes are way better than Hominids (non-APES primates) in governess!
 
Struggling for the fittest, Wanamchokoza Museven wa watu, awafanyeje sasa Kwanza anamvumilia tu kishkaji'. ajabu akitesa mzungu kule Rhodesia kale na Hong kong ni sawa, acheni unafiki, but akifanya mswahili ''Maayi wani-a Munumbu''

Mnataka nini waafrica? Besigye akipata uongozi atawafanyizia zaidi kwanza amekaa kisaliti saliti tu alimsaliti Museveni mwache aipate. hii EAC anaweza jitoa ajili ya kinyongo.

Mambo haya yanataka usimamizi sana km wa MR Ooops! Dr JIWE. simpendi huyu bwana but mwache awanyooshe hii miaka mitano yake mpaka mkome. kwanza hawapendi kama msivyompenda alishinda kwa nguvu na ujanja wake tuuu! siyo mikura ya machogo wanuka vikwapa.

Besigye you will never rule Uganda. least you meet premature death.
 
Put a banana infront of Gorila, Bonobo or Urang tan in a group and only then you will know what I was refering to..thanks for showing me how to write Urang tan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…