ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
Katika mwendelezo wa kudumaza demokrasia nchini uganda,polisi wamemtia mbaloni kiongozi wa upinzani kizza hapo jana kwa kosa la kujaribu kutaka kuleta vurugu na kuhatarisha amani ya uganda,polisi nchini uganda wamedai kuwa kizza alikuwa anataka kuitisha mkutano m kubwa ambao ungeenda sambamba na maandamano makubwa,na hivyo hadi muda huu bado anashikiliwa kituo kikuu cha polisi uganda na hajapewa dhamana hadi hapo polisi watakapoamua kumpa wao wenyewe.
source;radio free africa saubuhi hii ya leo.
source;radio free africa saubuhi hii ya leo.